0 Comment
SERIKALI yatuma salamu kwa wafanyabiashara na viongozi wababaishaji wanaokandamiza wakulima wa Tumbaku kwa kuchelewesha malipo ya fedha za ruzuku ya mbolea ili kuacha mara moja tabia hiyo laa sivyo watatajwa hadharani. Salamu hizo zimetolewa na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) tarehe 9 Oktoba 2024 kwenye mkutano wa hadhara wa Makamu wa Rais wa... Read More