0 Comment
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa, akiwahutubia,mamia ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na wananchi kwa ujumla katika mkutano wa hadhara uwanja wa Polisi Jimbo la Konde Mkoa wa Kaskazini Pemba. Baadhi ya wanachama wapya wa CCM waliotoka ACT-Wazalendo, wakionyesha kadi za chama walichotoka wakati wakipokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM... Read More