WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka TANROADSkuongeza kasi ya ujenzi wa daraja la Simiyu, wilayani Magu kwenye barabara kuu ya Mwanza-Musoma ili likamilike kwa wakati. Read More
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza serikali ipo mbioni kutangaza zabuni ya ujenzi wa daraja la Mzinga ili kupunguza msongamano wa magari barabara inayounganisha Dar es Salaam na Kilwa. Read More
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amechangia Millioni 100 kwaajili ya ukarabati wa bwalo la shule ya msingi ya Chief zulu na kuiagiza ofisi ya Halmashauri kuongezea Millioni Mia moja nyingine na kufikia lengo la Millioni 200 Hayo yamefanyika leo alipotembelea na kuzindua shule ya msingi ya mchepuo wa Kiingereza ya... Read More