0 Comment
Mratibu wa Accelerate Africa Tanzania, Pendo Lema (katikati) akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam kuhusu mkutano wa Accelerate Africa 2024 utakaofanyika Jijini Arusha Novemba mwaka huu. Wengine kutoka kushoto ni Mratibu wa Maendeleo ya Vijana wa Accelerate Africa, Isaac Fivawo na Katibu Mtendaji Jabeen Shiraz. *Wajasiriamali zaidi ya 200 kutoka zaidi ya... Read More