0 Comment
CHAMA cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) kinaendesha mafunzo kwa waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini ikiwa na lengo la kuwajengea uwezo kwenye uandishi/ utoaji habari zenye kuchechemua marekebisho ya sheria na upitishwaji wa sera zinazolinda afya ya jamii inayofanyika jijini Dar es Salaam. Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo hayo Katibu Mtendaji... Read More