0 Comment
KATIBU Mkuu Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo Bw.Gerson Msigwa,akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari wakati akizungumza nao leo Septemba 10,2024 jijini Dodoma kuhusu Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa litakalofanyika Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma. KATIBU Mkuu Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo Bw.Gerson Msigwa,akizungumza leo Septemba 10,2024 jijini Dodoma na waandishi wa habari... Read More