0 Comment
Happy Lazaro,Arusha . Arusha .WATAALAMU wa nishati ya umeme kutoka nchi 13 za Mashariki mwa Afrika wamekutana jiji Arusha kwa lengo la kujadili mahitaji ya umeme katika kipindi cha miaka 50 ijayo na namna ya kuvitumia vyanzo vipya vya nishati hiyo ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Msimamizi wa mafunzo hayo Kanda ya... Read More