0 Comment
Tenki la kuhifadhi maji linalojengwa katika mradi wa maji Kitula kata ya Kitula wilayani Mbinga. Na Mwandishi Wetu,Mbinga WAKALA wa maji na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa)wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma,umeanza kutekeleza mradi wa maji ya bomba wa Kitula kata ya Kitula Halmashauri ya wilaya Mbinga utakaowaondolea wananchi wa kata hiyo kero ya kuamka usiku wa... Read More