0 Comment
MAAFISA Ugani 23 wa Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora wamepewa moyo na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) na kuelezwa Serikali imewekeza vitendea kazi vya pikipiki, vishikwambi, soil scanners kwa ajili ya upimaji wa afya ya udongo na programu ya kujenga nyumba zao. Amesema hayo tarehe 14 Septemba 2024 wakati wa ziara yake... Read More