0 Comment
NA FAUZIA MUSSA Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) Ofisi ya Pemba wametakiwa kusimamia maadili ya utumishi na kujiepusha na vishawishi vitakavyopelekea kuathiri utendaji wao wa kazi. Wito huo umetolewa na Kaimu Kamishna Mkuu wa ZRA, Said Ali Mohamed wakati akizungumza na Wafanyakazi hao huko Gombani, Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba. Kamishna Said... Read More