0 Comment
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme akiongoza kikao kazi kinacholenga kuanzisha mradi wa matumizi ya nishati safi ya kupikia shuleni utakaotekelezwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Kigoma, Tabora na Dodoma, kilichofanyika jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Kemilembe Mutasa. Naibu Katibu... Read More