0 Comment
WABABE kadhaa katika ligi tano bora barani ulaya wamefanikiwa kuanza vizuri katika ligi zao, Vilabu vya Barcelona, Man City, Liverpool, Inter Milan, Bayern Munich, na PSG wameanza kwa mguu wa kulia michezo yao ya awali kwenye ligi zao. Liverpool haikudhaniwa kuanza msimu vizuri kwani waliondokewa na kocha wa Jurgen Klopp wengi wakiamini inaweza kuwachukua muda... Read More