0 Comment
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Bw. Ephraim Balozi Mafuru, amesisitiza umuhimu wa onyesho la *Swahili International Tourism Expo* (SITE) katika kuimarisha sekta ya utalii nchini. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Septemba 11, 2024, katika makao makuu ya TTB, jengo la Utalii House jijini Dar es Salaam, Bw. Mafuru alibainisha kuwa onyesho... Read More