0 Comment
Wataalamu wa upasuaji wa moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao kutoka Kituo cha Mfalme Salman cha Misaada ya Kibinadamu kilichopo nchini Saudi Arabia wakifanya upasuaji wa kurekebisha mishipa ya damu ya moyo wa mtoto ambayo haijakaa katika mpangilio wake wakati wa kambi maalumu ya upasuaji wa moyo inayofanyika JKCI.... Read More