0 Comment
Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha Sept 10,2024 Jumla ya Wanafunzi 6,249 wa darasa la saba katika Halmashauri ya Kibaha wanatarajia kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi. Kati ya wanafunzi hao wavulana 3,030 sawa na asilimia 48 na wasichana 3,219 sawa na asilimia 52 wanatarajia kuketi kufanya mtihani huo tarehe 11-12 septemba,2024 kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa... Read More