0 Comment
Kikao cha mapitio ya tathmini ya utendaji wa EWURA katika sekta ya umeme kikiendelea leo 9 Septemba 2024 katika ofisi za EWURA Kanda ya Mashariki, jijini Dar es Salaam Na.Mwandishi Wetu. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeanza kufanyiwa tathmini ya utendaji, usimamizi na udhibiti wake katika sekta ya umeme nchini.... Read More