0 Comment
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella, alikabidhiwa taarifa ya utekelezaji wa mradi wa upanuzi wa skimu ya maji kutoka kijiji cha Nyankende hadi kijiji cha Mwadui, Halmashauri ya Ushetu, mkoani Shinyanga, tarehe 8 Septemba 2024. Meneja wa RUWASA Wilaya ya Kahama, Mhandisi Maduhu Magili, alieleza kuwa mradi huo unatarajiwa kukamilika... Read More