0 Comment
Na Mwandishi wetu Waziri wa Kilimo Mhe. Husein Bashe (mb) ametembelea mradi wa Umwagiliaji wa Nyida uliopo mkoani Shinyanga wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji na kuelekeza kuwa ndani ya mradi huo lijengwe ghala kubwa la kuhifadhi mpunga. Waziri Bashe ameelekeza ufanyike ujenzi wa kituo cha pamoja cha kununua mpunga na kufungwa mashine na kinu... Read More