0 Comment
Mmoja wa wachezaji ambaye pia ni Rais wa Chama cha Gofu kwa wanawake ( Tanzania Ladies Golf Union- TLGU) akiwa mazoezini kujiandaa na michuano maarufu ya Tanzania Ladies Open Championship itakayoanza jijini Arusha Ijumaa wiki hii Wachezaji wa gofu wakiwa tayari kwa ajili ya michuano ya Tanzania Ladies Open Championship itakayoanza Arusha Ijumaa wiki hii... Read More