0 Comment
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed SaID Dimwa,akizungumza na wanachama wa CCM wa Tawi la Mjini Kiuyu mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika Maskani hiyo katika ziara ya Sekretarieti ya Wajumbe wa Kamati Maalum ya NEC,CCT Taifa Zanzibar Wilaya ya Wete. BAADHI ya Wanachama wa CCM Maskani ya Mjini Kiuyu wakifuatilia hotuba... Read More