0 Comment
Na. WAF – HAI Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Hai Dkt. Emmanuel Minja amesema kuwa wananchi wa wilaya hiyo wamejitokeza kwa wingi kupata huduma za kibingwa na ubingwa bobezi kutoka kwa Madaktari bingwa wa Rais Samia Suluhu Hassan walioweka kambi Wilayani humo kwa siku saba. Dkt. Minja amesema hayo leo wakati wa kambi... Read More