0 Comment
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry Silaa, amezindua mnara wa mawasiliano ya simu uliojengwa katika kijiji cha Hika Kata ya Makuru, wilayani Manyoni Mkoani Singida. Mnara huo uliojengwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa ruzuku inayotolewa na Serikali kupitia Mfuko wa Mwasiliano kwa Wote (UCSAF), ni muendelezo wa juhudi za... Read More