0 Comment
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) unaendelea na jitihada zake za kupunguza umaskini kwa kaya zilizo chini ya kipato, ambazo baada ya kufanyiwa utafiti, zimeonekana kuwa zinahitaji msaada. Kupitia miradi mbalimbali, TASAF inalenga kusaidia kaya hizo kuondokana na hali ya umasikini kwa kuzihawilisha fedha kama chachu ya maendeleo. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Oktoba... Read More