0 Comment
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Shule Kuu ya Elimu kimejipanga vyema kuhakikisha miundombinu ya ufundishaji inakuwa rafiki kwa wanafunzi mkondo wa amali katika shule ya Sekondari Mafiga ili wanawajengea uwezo wanafunzi hao. Hayo yamebainishwa na Dkt. Jamal Jumanne kwenye mahafali ya 15 ya shule hiyo, amesema lengo kuu la Elimu ya Amali... Read More