0 Comment
Na WAF – ARUSHA Jumla ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia wapatao 49 wamepokelewa mkoani Arusha na uongozi wa mkoa huo kwa ajili ya kambi ya matibabu ya siku sita kwa wilaya zote saba za mkoa huo huku wakitakiwa kuwahudumia wananchi kwa moyo wa upendo. Kauli hiyo imetolewa Oktoba 21, 2024 na Mganga Mkuu wa... Read More