0 Comment
Na. Happiness Sam – Kilimanjaro Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amesema, Mwenge wa Uhuru umepandishwa katika kilele cha Mlima Kilimanjaro kusherekea Miaka 60 ya historia yetu na kutukumbusha wajibu wetu wa kuhifadhi uhuru tulio nao kwa kujenga Taifa lenye umoja, mshikamano, nguvu na maendeleo. Mhe. Dkt.... Read More