0 Comment
Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Taasisi nyingine za kiuchunguzi linaendelea na uchunguzi wa matukio matatu yaliyotokea maeneo tofauti Oktoba 19,2024. Tukio la kwanza ni la wizi wa vitabu viwili vya zoezi la kuandikisha wapiga kura lililotokea Oktoba 19,2024 majira ya saa nane usiku huko Kikelelwa Tarakea Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro. Tukio la pili... Read More