0 Comment
Hakuna sehemu ambayo ina husda kama kwenye biashara maana watu wengi huwa wapendi kuona wenzao wanafanikiwa kimaisha, watu hufanya kila nyama kuhakikisha wanawashusha wenzao kibiashara. Baada ya kufanya tathimini na kujiridhisha kuwa sehemu nilipopanga naweza kufanya biashara, niliongea na mwenye nyumba na alinikubalia kufungua. Iliniambia itabidi nilipie kodi pia, sikuwa na tatizo na hilo, nililipa... Read More