0 Comment
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Hoteli ya Shukran Palace Michamvi Mkoa wa Kusini Unguja na (kushoto) ni Muwekezaji wa Mradi huo Bi.Kiran Mhajan na familia yake, ufunguzi huo uliyofanyika leo 21-9-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi... Read More