0 Comment
**†********* Na Sixmund Begashe -Kilwa Jitihahada zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuifungua zaidi Mikoa ya Kusini kiutalii inashika kasi hususani katika Utalii wa Kihistoria na Malikale kwa kuyapa Mapango ya Nandete na Namaingo hadhi ya kuwa Urithi wa Taifa . Hili limejidhihirisha kwa namna Serikali... Read More