0 Comment
*Ataka TANESCO kuongeza kasi utekelezaji miradi ya umeme wa gridi *Aagiza majenereta ya umeme wa mafuta Kigoma kuzimwa mwishoni mwa 2024 *Azindua ujenzi mradi wa umeme Malagarasi 49.5 MW* *Atoa neno kuhusu uchaguzi Serikali za Mitaa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha linatekeleza... Read More