0 Comment
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Seushi Mbuli akikabidhiwa nyaraka za umiliki wa basi aina ya TATA kutoka kwa Meneja Uendeshaji wa Kampuni ya TATA Africa Holdings (Tanzania) Limited Bi. Muareen Kiputa leo tarehe 19 Sept 2024. Katikati ni Mkurugenzi Msaidizi Utawala Bw. Simbani Liganga... Read More