0 Comment
Na Mwandishi Wetu MKUU wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed amesema utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Bandari ya kisasa ya Mbambabay utakaogharimu Sh.Bilioni 81, utaufungua Mkoa kiuchumi kwa kuuza bidhaa mbalimbali nchi za Malawi na Msumbiji. Kanali Ahmed aliyasema hayo jana alipokuwa akikagua utayari wa Wilaya za Mkoa huo kuhusu ziara ya... Read More