0 Comment
Na Neema Mtuka, Rukwa Wananchi wa mkoa wa Rukwa wametakiwa kuachana na matumizi ya nishati chafu ya kupikia kama vile kuni na mkaa, ili kuepuka athari mbalimbali za kiafya na kimazingira. Wito huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Christina Mndeme, alipokuwa akizungumza na wadau mbalimbali, wakiwemo mama na baba... Read More