0 Comment
*Waziri Mavunde akabidhiwa hati ya eneo la ujenzi wa kiwanda kikubwa cha chumvi *Aipongeza STAMICO kwa utekelezaji wa mipango na maelekezo ya Serikali *Ujenzi wa kiwanda kukamilika Mwezi Aprili, 2025 Kiwanda kusafisha chumvi kwa ubora wa kimataifa wa asilimia 99.5 *Kilwa, Lindi. Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amesema kuwa Ujenzi wa Kiwanda cha kusafisha... Read More