0 Comment
*Azindua rasmi Chama cha Watoa Huduma na Wauzaji wa Bidhaa Migodini *Afurahishwa na Watanzania kuzingatia ubora *Awataka kushirikiana na kusaidiana *Rais Samia apongezwa kuvutia uwekezaji DAR ES SALAAM: Waziri wa Madini Anthony Mavunde, amewataka watanzania wanaoshiriki kwenye mnyororo wa thamani wa sekta ya madini kuchangamkia fursa kubwa iliyopo ya manunuzi ya bidhaa na utoaji huduma... Read More