0 Comment
Na MWANDISHI WETU SERIKALI imewataka wananchi kutambua na kuthamini uwekezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo katika maeneo yao na kuacha imani potofu katika utekelezaji wa miradi hiyo, hususani ujenzi wa Skimu za umwagilliaji na barabara kwa madai kuwa maeneo ya miradi ni ya matambiko hivyo isitishwe. Hayo yameelezwa na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe katika... Read More