0 Comment
WANANCHI wa Halmashauri ya Ushetu na Wilaya ya Kahama wamemlaki kwa maelfu na shangwe za kishindo Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) na kujivunia kuwa wao ni wakulima na wako tayari kuendelea kutafsiri maono ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Akimkaribisha Waziri Bashe kuhutubia Mkutano wa hadhara tarehe 15 Septemba 2024 katika kijiji... Read More