0 Comment
Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha Sept 15,2024 Serikali Mkoa wa Pwani ,imetoa rai kwa wawekezaji binafsi katika sekta ya elimu kuzingatia sheria katika ujenzi wa miundombinu bora na kuajiri walimu wenye sifa na vigezo ili kuchochea Mapinduzi makubwa katika sekta hiyo. Aidha, Serikali ya mkoa huo imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuwaunga mkono wawekezaji wanaowekeza katika ujenzi... Read More