0 Comment
Watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambao ni Mratibu wa Uandikishaji wa mkoa, Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi, Maafisa Ugavi na Maafisa TEHAMA wa Halmashauri kutoka mkoa wa Dodoma wakila kiapo cha kujitoa uanachama na kile cha kutunza siri muda mfupi kabla ya kuanza mafunzo yao... Read More