0 Comment
Mstahiki Meya wa baraza la Manispaa wilaya ya kaskazini ‘A’ Machano Fadhil Machano (Babla), alipokua akifungua mafunzo ya mabadiliko ya sheria za kodi 2024-2025 kwa wafanya biashara na wananchi wa mkoa wa Kaskazini Unguja NA FAUZIA MUSSA Wananchi wa Mkoa wa kaskazini Unguja wametakiwa kuendelea kulipa kodi ili kusaidia kuimarisha maendeleo ya mkoa huo. wito... Read More