0 Comment
Na Mwandishi wetu Mpapura Ilikuwa ni vifijo, nderemo na vigelegele kwa Wananchi kufuatia kuwashiwa umeme kwa mara ya kwanza toka Dunia iumbwe. Wananchi hao wa Kijiji cha Mnyija kilichopo Kata ya Libobe, Tarafa ya Mpapura mkoani Mtwara wameishukuru sana Serikali ya Chama Cha Mapinduzi inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt.... Read More