0 Comment
Watuhumiwa wa usafirishaji wa dawa za kulevya aina skanka tani 1.8 Felista Mwanri (70) na mtoto wake Richard Mwanri (47) na watu wengine watu wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Sepemba 10, 2024 jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kusafirisha bangi zaIdi ya tani moja. Washtakiwa wengine ni Athuman Mohamed maarufu... Read More