0 Comment
Ndani ya miezi miwili yakusanya shilingi bilioni196 ikiwa ni zaidi ya kiasi kilichokusanywa katika mwaka wa fedha 2015/2016 cha shilingi bilioni 161 Waziri Mavunde apongeza Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa kwa kuibeba Sekta ya Madini kupitia ukusanyaji wa maduhuli. Ampongeza Rais Samia kwa kuipa kipaumbele Sekta ya Madini kwa kuongeza bajeti kwa mwaka 2024/2025 Atoa... Read More