Mshindi wa wiki ya saba ya kampeni ya Vodacom Tanzania Plc ‘Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi’ Elias Nakara (Kushoto), akipokea mfano wa hundi ya shilingi laki tano kutoka kwa Mkuu wa kanda ya Kaskazini wa Kampuni hiyo, George Venanty (kulia), katika Duka la Vodacom lililopo Jijini Arusha jana. Endelea kufanya miamala kwa kutumia M-pesa Super App au piga *150*00# pamoja na... Read More
Na Mwandishi Wetu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametaja sekta ya ardhi kuwa kinara wa vitendo vya rushwa katika mkoa huo na ameahidi kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuhakikisha rushwa haiwi kikwazo kwa wakazi wa Arusha kupata haki zao. Makonda aliyasema hayo hivi karibuni alipokutana na Mkurugenzi Mkuu... Read More
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ( Mb) ametoa wito kwa wafanyabiashara wote nchini kuchangia pato la Taifa kwa kulipa kodi kwa hiari. Mhe. Kigahe ameyasema hayo wakati akijibu hoja za wafanyabiashara wa Ngara katika Mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa shule ya Sekondari ya Ngara. Katika kiko hicho, Wafanyabiashara hao wamewasilisha... Read More
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (WaPili kushoto) akitoa maelekezo kwa Mhandisi Mshauri kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) Kitengo cha TECU, Simon Makala (WaNne kulia) alipokagua ujenzi wa barabara ya Ruangwa – Nanganga (Km 53.2) kwa kiwango cha lami na daraja la Lukuledi lenye urefu wa mita 60 Septemba 14, 2024 mkoani Lindi. Mhandisi... Read More
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Dkt. Ashatu Kijaji, ametangaza kuwa Tanzania itaungana na jumuiya ya kimataifa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozone, ambayo itaadhimishwa mnamo Septemba 16, 2024. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mnamo Septemba 14, 2024, Dkt. Kijaji alieleza kuwa... Read More
Maafisa Ugani 23 wa Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora wamepewa moyo na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) na kuelezwa Serikali imewekeza vitendea kazi vya pikipiki, vishikwambi, soil scanners kwa ajili ya upimaji wa afya ya udongo na programu ya kujenga nyumba zao. Amesema hayo tarehe 14 Septemba 2024 wakati wa ziara yake katika... Read More
Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria imeanza kuchunguza mbinu za kutumia lugha rahisi na zinazoeleweka kwa jamii zinazozunguka Bonde la Mto Mara ili kuhakikisha mafanikio katika uhifadhi wa bonde hilo kwa maslahi ya wananchi na Jumuiya kwa ujumla. Kauli hiyo ilitolewa na Dk. Masinde Bwire, Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria, wakati... Read More
Ziara ya ukaguzi wa skimu za umwagiliaji na maendeleo ya upembuzi yakinifu wa skimu za umwagiliaji imeendelea leo tarehe 14 Septemba 2024 katika Wilaya za Nzega na Igunga, Mkoani Tabora. Akikagua eneo linalotarajiwa kujengwa bwawa la maji lenye ukubwa wa hekta 3,205 na ujenzi wa mifereji ya kusafirisha maji, Mhe. Hussein Bashe (Mb), Waziri wa... Read More
MAAFISA Ugani 23 wa Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora wamepewa moyo na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) na kuelezwa Serikali imewekeza vitendea kazi vya pikipiki, vishikwambi, soil scanners kwa ajili ya upimaji wa afya ya udongo na programu ya kujenga nyumba zao. Amesema hayo tarehe 14 Septemba 2024 wakati wa ziara yake... Read More