Waziri wa Kilimo,Mhe.Hussein Bashe amewataka wakulima wa Korosho kusini kuhakikisha shughuli zote zinazohusiana na korosho zinafanyika na kupatikana kusini ili kuondokana na umasikini. Read More
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Mhe. Shariff Ali Shariff ametoa wito kwa wananchi na wafanyakazi wote kushiriki kikamilifu katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, yatakayofanyika tarehe 1 Mei 2025 kisiwani Pemba. Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea maadhimisho hayo, Waziri Shariff alieleza kuwa siku hiyo ni muhimu... Read More
JOPO la majaji waliobobea kwenye tasnia ya habari limeanza rasmi kuchambua kazi za waandishi wa habari wanaowania Tuzo za Uwiano wa Kijinsia kwa mwaka 2025, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha usawa wa kijinsia kupitia vyombo vya habari. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Chama Cha Waandishi wa habari Wanawake TAMWA Zanzibar kimesema Majaji... Read More
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja amefunga Mkutano wa Kundi la Majadiliano la Afrika (AGN) leo tarehe 30 Aprili 2025 katika Ukumbi wa Hotel Verde Mtoni, Zanzibar. Mkutano huo uliofanyika kwa siku tatu, umewakutanisha washiriki kutoka nchi 54 barani Afrika ambao pamoja na masuala mbalimbali wamejadili ushirikiano katika uhifadhi wa mazingira.... Read More
Katika kuadhimisha Maonesho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla, ametembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA). Akiwa banda la TCAA , Mheshimiwa Hemed alipata maelezo kuhusu huduma na majukumu ya TCAA pamoja na miradi inayoitekeleza kutoka kwa Meneja wa... Read More
“Kuongeza au kupunguza kutoka katika Kitabu cha Ufunuo ina maana huwezi kuingia mbinguni (Ufu 22:18-19)” *Kuna kanisa ambalo hufanya Mtihani wa Biblia kila Wiki na washiriki wote wanajua Kitabu cha Ufunuo. Sasa Hivi Kanisa la Shincheonji la Yesu, Hekalu la Hema la Ushuhuda(Hukumbi wa Makao makuu )Mwenyekiti Man -hee Lee, ambaye baadaye anajulikana kama Kanisa... Read More
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV TAASISI ya Bloom Wellness Limited imepongezwa kwa kuanzisha na kuzindua Wiki ya Ustawi Tanzania 2025 ambayo itawaleta pamoja wadau ili kuwa na mjadala mpana zaidi kuangazia kwa kina suala la ustawi wa kijamii na kiafya kwa ujumla. Pongezi hizo amezitoa leo Aprili 30, 2025 Jijini Dar es Salaam, Mtaalamu wa... Read More
Na Mwandishi Wetu. KATIKA jitihada za kuongeza uhifadhi wa mazingira katika wilaya za Chemba na Kondoa mkoani Dodoma, shirika lisilo la kiserikali (NGO) la limetoa msaada wa mizinga ya kisasa ya nyuki 70 yenye thamani ya Shilingi milioni saba kwa wafugaji wa nyuki. Msaada huu si tu utaongeza uzalishaji wa asali katika vijiji viwili vya... Read More
WAZIRI wa Madini Mheshimiwa Anthony Mavunde (MB) ametoa maelekezo matano kwa Menejimenti ya Tume ya Madini hasa Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa kuzingatia na kusimamia sheria katika utekelezaji wa majukumu yao na kufikiri nje ya boksi ili kuwa na kitu cha ziada katika kuendeleza Sekta ya Madini. Waziri Mavunde ameyasema hayo leo Aprili 30, 2025... Read More
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Bi Zuhura Yunus akitoa moja ya tuzo kwa wafanyakazi wa kampuni ya Barrick kwenye hafla hiyoWafanyakazi wa Barrick wakifurahi baada ya kupokea tuzo kutoka kwa Kamishna wa Kazi ,Suzan MkangwaKatibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Watu wenye Ulemavu)... Read More