Na Said Mwishehe,Michuzi TV KWA kuwa muda ni mchache na mambo ni mengi iko hivi, Oktoba 29 mwaka huu tunakwenda kuchagua viongozi kwa maana ya madiwani,Wabunge na Rais wa Tanzania. Sasa fanya hivi wakati unajiandaa kuchagua hasa kwa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tuliza akili kisha amua nani awe Rais wako.... Read More
Sanlam na Allianz, makampuni mashuhuri katika sekta ya bima ambao waliungana pamoja mwaka 2023 kuunda kampuni kubwa zaidi barani Afrika ya huduma za kifedha zisizo za benki, SanlamAllianz, wamezindua rasmi chapa ya SanlamAllianz nchini Tanzania leo. Uzinduzi umefanyika katika Hoteli ya Johari Rotana, Dar es Salaam.Uanzishwaji wa SanlamAllianz General Insurance Tanzania Ltd na SanlamAllianz Life... Read More
Mzigo mkubwa upo kwa wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo wewe kama mteja una nafasi ya kuondoka na kitita cha maana kabisa. Aston Villa, Nice, Fenerbahce na wengine wapo uwanjani kuhakikisha hawakuachi watupu. Vilevile Celta Vigo atamenyana dhidi ya OGC Nice kutoka kule Ufaransa ambao mechi iliyopita, alipigika huku mwenyeji wake yeye akiondoka na ushindi mnono.... Read More
Wasimamizi wa mashamba ya parachichi kutoka mikoa ya Njombe ,Ruvuma ,Mbeya na Iringa wamekutanishwa mjini Njombe na kampuni iliyojipambanua katika kuinua sekta ya kilimo Guavay ltd na kisha kuwapa mafunzo ya kujengewa uwezo wa matumizi bora ya mbolea,viuatilifu ,udhibiti na usimamizi mzuri wa mashamba pamoja na afya ya udongo ili kumfanya mkulima kufanya kilimo chenye... Read More
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Suleiman Serera,akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala, Asangye Bangu, wakati wa ziara yake ya kutembelea na kujionea maghala yanayotumia mfumo wa stakabadhi ghalani katika Halmashauri ya Karatu, mkoani Arusha. …. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Suleiman Serera,... Read More
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza rasmi vikwazo vipya dhidi ya baadhi ya makampuni makubwa ya mafuta kutoka Urusi, hatua inayolenga kuongeza shinikizo kwa serikali ya Rais Vladimir Putin kufuatia kuendelea kwa mvutano wa kisiasa. Vikwazo hivyo vinahusisha kufungia mali za makampuni kadhaa na kuzuia biashara ya mafuta kati ya Urusi na washirika wake wa... Read More
……………. NA DENIS MLOWE, IRINGA MKUU wa Mkoa wa Iringa, Kheri James amekabidhi magari nane kwa jeshi la polisi mkoani hapa na gari jingine litakuja baadaye kutimiza idadi ya gari 9 ambayo yatasaidia kuongeza ufanisi kwenye utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku. Katika magari hayo ya kisasa , moja la Kamanda wa Polisi Mkoa... Read More
Na Mwandishi Wetu WMJJWM- Iringa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu amewataka Maofisa Maendeleo ya Jamii kutumia pikipiki walizopewa na Serikali kuwafikia wananchi vijijini na kuwahudumia kwa weledi. Dkt. Jingu amesema hayo tarehe 22 Oktoba, 2025 wakati akikabidhi pikipiki kumi (10) kwa Maofisa Mendeleo ya... Read More
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kwa umma kuhusu ajali iliyohusisha treni ya EMU iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma majira ya saa 2:00 asubuhi. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, ajali imetokana na hitilafu za kiutendaji ambazo zilisababisha mabehewa matatu ya treni hiyo kuacha njia katika kituo cha Ruvu. TRC imethibitisha kuwa... Read More