0 Comment
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umetoa wito kwa vijana wa Kitanzania kote nchini kujitokeza kwa wingi kushiriki katika mzunguko wa pili wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, unaotarajiwa kuanza Mei 1 hadi Julai 4, 2025. Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Taifa wa UVCCM, Jessica Mshama, ametoa wito... Read More