0 Comment
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) Mhe. Augustine Vuma Holle (Mb) amesema Kamati yake imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya utalii inayofanywa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA katika Hifadhi ya eneo la Makuyuni Wildlife Park iliyopo wilaya ya Monduli Mkoani Arusha.... Read More