0 Comment
Chuo cha Uhasibu Arusha kimeibuka kidedea na kung’ara katika mashindano ya Cyber Champions ya mwaka 2025 Mashindano hayo yameweza kushirikisha Taasisi za Elimu ya juu zaidi ya 40 na yamefanyika jijini Dodoma yakilenga kuibua vipaji, kuimarisha uelewa wa usalama mtandaoni na kuwaandaa vijana kushiriki kikamilifu katika uchumi wa kidijiti. Mashindano hayo adhimu ya kusaka... Read More